Mwalimu na mwanafunzi wabambwa!!!

shule ni za wasichana walimu wanaume wapi na wapi? watafutiwe masista!!!
 
unachosema ni kweli kabisa mimi baada ya kumaliza degree ya kwanza wakati natafuta kazi nilifundisha miezi mitatu (sio proffesional yangu ni njaa tu za kipindi hicho) ile shule ilikuwa ya boarding wasichana tupu sijui nieleze vp lakini majaribu yalikuwa makubwa sijapata kuona maishani mwangu na mie nilikuwa bado junkie ilikuwa balaa ni kila siku unaandikiwa barua watu wanaacha manyonyo wazi makusudi kuna mmoja alikuwa ananilia timing nje na kunitongoza sijui yuko wapi siku hizi yule mtoto may be keshaolewa maana kipindi kidogo.

Ile hali ilikuwa ngumu sana kui-handle na nilikuwa nashindwa kuwa-report kwa kuwa nilikuwa pale temporary sikutaka kuwaharibia masomo ila baada ya kupata kazi niliyosomea niliwachakachua wawili ambao walikuwa wanaendelea kunifuatilia mpaka uraiani

Watoto wa sekondari wanamajaribu mabaya sana kama ujaoa huwezi kuruka lazima watakinasa tu wengine wanawatongoza mpk walimu wenye umri wa baba zao yaani mtoto wa kike akishapevuka inakuwa balaa wengine mpaka walikuwa wanapandisha mashetani yanadai kiti anataka kufanya mapenzi
 
Nakumbuka msemo wa JK eti kuwa wanafunzi wanajitakia wenyewe nilichoka
 
Jamani mbona siku hizi walimu wengi wana uchu sana? watoto wa shule nao wanayaweza.

Mkubwa ameishasema. Wasichana ni Kiherehere chao tu!

Huku kwa Walimu tatizo ni kuwa Ualimu sio Wito tena bali ni just another job to make ends meet. Changanya...
 
Jamani msiwaseme sana wanafunzi wa kike, dada yangu alifundisha shule ya wavulana nayeye alipata shida sana
afu na kamwili kake kadogo basi ile mijanafunzi mikubwa ilikua inamuonea sana, siku akichelewa kutoka shule inabidi aombe escort kwa
kwa walinzi au walimu wa kiume.,,nafikiri japo yote hayo wanafanya bado ukweli unabaki kua wao ni watoto wanakua na kaili hazijakomaa
na mwalimu kama mtu mzima/mzazi/kiongozi jukumu ni lako kuwaelekeza..,anapokukonyeza darasan mwambie hapo hapo mbele ya darasa ashindwe na alegee mnapoanza kuitana pembeni eti umkanye ndio hapo mengine yanafatia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…