GE2025 Mwalimu: Naomba mniamini kunipeleka Ikulu kijana wenu nikalete mabadiliko

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
"Watu wa Kilwa na Watanzania, ninaomba mniamini, niligombea nafasi ya umakamu kipindi kile nikiwa CHADEMA, leo hii nimeaminiwa kwenye nafasi ya Urais, naomba mniamini kunipeleka Ikulu kijana wenu nikalete mabadiliko"

"Uchaguzi ni hatma ya maisha ya watu, tusiufanye kama ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga. Usimchague mtu eti kwa sababu yeye anatoka chama fulani, mchague kwa sababu umemwamini atakuletea mabadiliko, tusichague kwa mazoea."

"Tunahitaji uwakilishi makini.Nichagueni mimi kijana nikapiganie na kuleta mabadiliko kwenye nchi hii. Imani huzaa Imani, mtuamini CHAUMMA tukafanye mabadiliko."-Salum Mwalimu.

Screenshot 2025-08-16 234429.png
 
Huyu Jamaa Bwana anafanya kitu ambacho anajua Toka moyoni mwake haiwezekani.
 
Hiyo hiyo ya magogoni, kama sa100 alipata zero form 4 halafu mnatuambia anaupiga mwingi atashindwaje aliyepata div 4?!.
Hapo sijamtaja lissu aliyesoma special school maana sio lavel yao hao wote wa2!!.
Ndoto yenu ni sawa na ile ndoto ya mke wa kapola
 
Ha
"Watu wa Kilwa na Watanzania, ninaomba mniamini, niligombea nafasi ya umakamu kipindi kile nikiwa CHADEMA, leo hii nimeaminiwa kwenye nafasi ya Urais, naomba mniamini kunipeleka Ikulu kijana wenu nikalete mabadiliko"

"Uchaguzi ni hatma ya maisha ya watu, tusiufanye kama ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga. Usimchague mtu eti kwa sababu yeye anatoka chama fulani, mchague kwa sababu umemwamini atakuletea mabadiliko, tusichague kwa mazoea."

"Tunahitaji uwakilishi makini.Nichagueni mimi kijana nikapiganie na kuleta mabadiliko kwenye nchi hii. Imani huzaa Imani, mtuamini CHAUMMA tukafanye mabadiliko."-Salum Mwalimu.

View attachment 3443548
ta kuongoza Kijiji hutaweza.
 
Back
Top Bottom