TANZIA Mwalimu nguli wa hesabu Nwaka Patric Mwaipopo afariki dunia

TANZIA Mwalimu nguli wa hesabu Nwaka Patric Mwaipopo afariki dunia

Mpanda hill

Member
Joined
Jun 27, 2024
Posts
49
Reaction score
75
Wanajamii Forums mwalimu M waipopo Nwaka amefariki dunia 12/1/2025 Muhimbili hospital alipokuwa anapata matibabu. Mwalimu katika uhai wake alifundisha shule mbalimbali za secondary ikiwemo Kilosa, Pugu,Tambaza, nk. Alikuwa mkuu wa shule za secondary za Namanyere, Rungwe, Ileje.

Alistaafu utumishi wa serikali miaka 16 iliyopita na kuendelea kufundisha shule za secondary za Meta Na Sangu za Mbeya. Atazikwa Kyela Mwaya baada ya kuagwa mbeya mjini ktk makazi yake ya Sae. Anazikwa Leo 16/1/2025 nimempoteza baba mdogo Niko huku Kyela kwa hatua za mazishi Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihidimiwe Amen.
 
Back
Top Bottom