TANZIA Mwalimu nguli wa hesabu Nwaka Patric Mwaipopo afariki dunia

Apumzike kwa amani mzee Mwaipopo... Kesho nitampigia simu mwanae mmoja nimpe pole.
 
R.I.P aliyeacha Legacy
 
kwanza amepost kama anakimbizwa, halafu kampamba babake mkubwa kana kwamba alikuwemo kwenye list ya hao nguli wa hesabu nchini.
Kufeli kwako hesabu, umetunza hasira mpaka kwa Mwl ambaye hakukufundisha tena humjui, unashambulia mpaka kifo chake. Pole.
 
Katika hospitali ya Muhimbili.

Alipokuwa anapatiwa matibabu.

Kuna mtu anafariki Muhimbili akiwa analima mihogo ?

Logic na shule ya jamii yetu hii ni ndogo sana.
 
Kuwa baba yako ndo kigezo cha kumuita mwalimu nguli wa hesabu? Unawajua walimu nguli wa hesabu wewe? All in all apumzike kwa amani.
Moyo wa jiwe kama wako ni ngumu Sana kupata baraka za MUNGU.
Wewe ni zaidi ya mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…