Nyerere alikuwa anaishi kwa kutegemea shiriki. Ndiyo maana alikuwa haiachi ile fimbo yakeAlikuwa akilindwa na nini huyu baba,
Nyerere hakuwa anasimamia uchama, alijali zaidi uTanzania, pia hata dini, hakuishia katoliki, kumbuka ni mtoto wa chifu.Kama ukipata picha ya nyerere kavaa nguo ya kijani yenye maandishi matatu, nami ntakujibu kwa nini alijiamini.
Ukiwa msafi unaishi maisha mazuri sana mkuu.Ila ukiwa na double standard,yale mambo ya hovyo huathiri mazuri yako.Ukiwa na msimamo wenye mantiki unapata heshimaHuyu baba alikuwa akiwatukana wazungu mara kwa mara na kuwaita majina ya ajabu ajabu
Aliwavimbia wareno kule Angola mpaka wakasepa zao Ulaya
Akawa mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele kupambana na kaburu kule SA
Akamvagaa mbabe Idd Amini na kumfurusha kutoka Uganda
Akastaafu akarudi kijijini akafa kifo cha kawaida kabisa
Alikuwa akilindwa na nini huyu baba,ama aliwahi kuwa komandoo
Kumbe hakuwahi kuvaa hizi sidiria za nzi wa kijaniKama ukipata picha ya nyerere kavaa nguo ya kijani yenye maandishi matatu, nami ntakujibu kwa nini alijiamini.
Hakuwahi kuvaa nguo za chama hata siku mojaNyerere hakuwa anasimamia uchama, alijali zaidi uTanzania, pia hata dini, hakuishia katoliki, kumbuka ni mtoto wa chifu.
Umepiga humo humo, hakuna cha maana alichofanya hapa Tanzania huwa sikioniHayo uliyoyasema kuwa aliyafanya ndio maana Tanzania hadi sasa tuko poor sababu ni yeye.Magufuli alifanana sana Nyerere kwa kiburi kisichokuwa na maana ambacho kinatokana na mawazo binafsi.
Mfano,Nyerere aliona kabisa Sera za ujamaa zinafeli na dunia inabadikika kutoka ujamaa kwenda ubepari baada ya USA kushipa power lakini kwa makusudi kabisa yeye akashikilia msimamo wake wa kijinga na mwisho wake kuifanya Tanzania Nchi fukara.
Kingine,Vita ya Uganda ili tu amulinde rafiki take Obote-alitupa hasara sana.ugomvi wa Idd amin na Tz unatokana na Nyerere kumpa hifadhi Obote-hata ungekuwa wewe ndio Idd Amin nadhani unge react tu.
Aliifanyia nini sasa Tz kwa miaka 24?Alikuwa hana ujanja .alikuwa akisimamia ukweli bila ya ujanja Kwa kiwango kisicho cha kawaida .siku hizi ni ngumu na akitokea ataheshimika na kuaninika kama nyerere
Fimbo ilishatolewa maelezo. Ilimsaidia kugain vonfidence mbele za watu baada ya kuacha sigara. Usiwe mwepesi wa mambo hayo ndugu.Nyerere alikuwa anaishi kwa kutegemea shiriki. Ndiyo maana alikuwa haiachi ile fimbo yake
alikuwa anauwezo wa kujenga hoja, ukiwa Kiongozi wa kitaifa na huna uwezo wa kujenga hoja ni tatizo kubwa, unakuwa hujiamini na kila mtu akikupa ushauri unafikiri kakudharau.Huyu baba alikuwa akiwatukana wazungu mara kwa mara na kuwaita majina ya ajabu ajabu
Aliwavimbia wareno kule Angola mpaka wakasepa zao Ulaya
Akawa mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele kupambana na kaburu kule SA
Akamvagaa mbabe Idd Amini na kumfurusha kutoka Uganda
Akastaafu akarudi kijijini akafa kifo cha kawaida kabisa
Alikuwa akilindwa na nini huyu baba,ama aliwahi kuwa komandoo
Huwezi elewa mpaka umalize shule Dogo .piga book KwanzaAliifanyia nini sasa Tz kwa miaka 24?
Nitajie nchi za kiafrika (esp. Sub Saharan countries) ambazo zilipopata uhuru hazikufuata siasa ya ujamaa na kujitegemea na sasa hvi ni tajiri au imepiga hatua kubwa sana ya maendeleo kuliko tanzania. Wakati mwingine tuwe tunashirikisha ubongo wetu kufikiri usifirkiri kwa kutumia makalio yako. Kilichoathiri uchumi wa Tanzania in late70s ni Vita ya Kagera na wala si siasa ya ujamaa.Hayo uliyoyasema kuwa aliyafanya ndio maana Tanzania hadi sasa tuko poor sababu ni yeye.Magufuli alifanana sana Nyerere kwa kiburi kisichokuwa na maana ambacho kinatokana na mawazo binafsi.