Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Jingalao hatofautishi kati ya Kunyimwa visa au visa yenye Masharti. Kila nchi Hata Tanzania zinatoa visa zenye masharti... sasa sijui ni kwa nini anaanzisha mada zenye mfanano na jina lake.....Mwalimu Nyerere hakuwahi kunyimwa visa, acheni kumsingizia.
Walimpa ya kutembea three blocks only...tafuta hotuba yakeHaya ni mambo ya kawaida, hata sasa hawa waingereza wanayo kitu inaitwa VIP Delegate visa na masharti yake ni kwamba Raisi wa nchi yeyote anayewatembelea hawezi kusafiri na lundo la wasaidizi zaidi ya 20 na visa haitazidi zaidi ya siku tatu baada ya kufika huko.. hebu soma hapa nisikuchoshe ndugu yangu: VIP Delegate Visa.
Hata ingekuwa one block au zero block bado ilikuwa ni visa...alikuwa na uhuru wa kuchagua kwenda au kutokwenda... Baada ya kuwa Raisi, alikuwa pia na nafasi ya ku-implement hizo aina za visa kwa hao wazungu walio mfanyia hivyo, lakini hakufanya hivyo kwa sababu zake mwenyewe na hata sasa hakuna mwenye nia ya kuwafanyia, ni malalamiko tu kama yako. Sasa huu uonenvu utaisha lini? Auwae kwa upanga, huuwawa kwa upanga.Walimpa ya kutembea three blocks only...tafuta hotuba yake
Ndio maana aliasa mabadilikoHata ingekuwa one block au zero block bado ilikuwa ni visa...alikuwa na uhuru wa kuchagua kwenda au kutokwenda... Baada ya kuwa Raisi, alikuwa pia na nafasi ya ku-implement hizo aina za visa kwa hao wazungu walio mfanyia hivyo, lakini hakufanya hivyo kwa sababu zake mwenyewe na hata sasa hakuna mwenye nia ya kuwafanyia, ni malalamiko tu kama yako. Sasa huu uonenvu utaisha lini? Auwae kwa upanga, huuwawa kwa upanga.
Siyo kweli, mwalimu alitembelea mataifa yote ya ulaya na yote mpaka Marekani, Kanada na ya ulaya yalikuwa yanampa misaada ya kila aina mfano shule ya sekondari Kibaha iliyoanzishwa na nchi za Skandanavia kwa mfumo wa Taasisi ya Elimu ikijitegemea kwa kila kitu, ikamshinda kuiendeleza imebakia nyangarakasha. Marekani ilizilisha chakula shule zote nchini, Kanada ilitoa misaada mingi sana kwa Tanzania, Israeli ilianzisha JKT na maada wa elimu ya kilimo, Ujerumani nayo ilitoa misaada mingi sana, Uingereza kulikuwa nyumbani kwake kwani haikututawala kama baadhi ya wasiojua historia wanavyojipamba, Urusi ilitoa msaada wa elimu huku china ilijenga reli, tuwe na shukurani tuache visingizio.Tunapoelekea katika mwezi wa kumbukizi ya Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni vyema kutafakari kila neno alilowahi kulitoa.
Katika moja ya hotuba zake kwa wanahabari aliwahi kugusia madhila aliyowahi kupata kama kiongozi wa nchi kwa kunyimwa visa na TAIFA KUBWA.
Hakika inatia simanzi ila ni bullying iliyowahi kuwepo na pengine itakuwepo kwa muda mrefu ujao. Japo alituasa kama waafrika kuleta mabadiliko.