johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.
Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye akapewa golori kisha yule mrombo akatoka hapo akicheka na kurukaruka kama ZUZU.
Nimeona pia ile ya mbunge wa Kibaigwa akishangaa iwapo wakati wanapitisha " maswala fulani" pale bungeni walikuwa macho au walikuwa wamelala usingizi?
Sasa kama mlilala usingizi kwanini leo mnamuhoji "marehemu"?
Maendeleo hayana vyama!