johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanajiita watoto wa makatibu wakuu wastaafu!Tangu lini nape akawa na akili mkuu! Kumbuka 19.09.2019 alipoenda kutubu magogoni alichosema mbele ya camera jamaa ni jinga kabisa ! Kikubwa ambacho kwake sikipendi kabisa nikujifanya yeye na jr makamba wanajifanya wanauelewa kuzidi wengine ndani ya ccm na miongoni mwa wana ccm wanawabudu na kuwapigia makofi!
zuzu ktk ubora wako, hujawah kupost kitu chenye tija.Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.
Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye akapewa golori kisha yule mrombo akatoka hapo akicheka na kurukaruka kama ZUZU.
Nimeona pia ile ya mbunge wa Kibaigwa akishangaa iwapo wakati wanapitisha " maswala fulani" pale bungeni walikuwa macho au walikuwa wamelala usingizi?
Sasa kama mlilala usingizi kwanini leo mnamuhoji "marehemu"?
Maendeleo hayana vyama!
Wabunge mazuzuWanasisasa ndivyo walivyo, wasikuumize kichwa...
Umefura manka!zuzu ktk ubora wako, hujawah kupost kitu chenye tija.
Ndiyo maana wengi wanasoma wanakupuuza wala hawacomment chochote.
Ana upoliccm na ukada wa kindenzi hatarezuzu ktk ubora wako, hujawah kupost kitu chenye tija.
Ndiyo maana wengi wanasoma wanakupuuza wala hawacomment chochote.
Baada ya kula ugali na papa mtu ataka kuwa mtandaoni, matokeo ni haya! Mwalimu Nyerere kasema......yaani wewe kichwa chako hakiyajui hayo hadi Mwalimu Nyerere akuambie?Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.
Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye akapewa golori kisha yule mrombo akatoka hapo akicheka na kurukaruka kama ZUZU.
Nimeona pia ile ya mbunge wa Kibaigwa akishangaa iwapo wakati wanapitisha " maswala fulani" pale bungeni walikuwa macho au walikuwa wamelala usingizi?
Sasa kama mlilala usingizi kwanini leo mnamuhoji "marehemu"?
Maendeleo hayana vyama!
Utawala huu ukipita na NAPEI hajapata teuzi , utawala unaokuja huyu huyu utamuona atakavyo uponda huu utawala.Hapo kinachotafutwa ni teuzi tuu hakuna lltNape alikuwa ameshikisjwa adabu na yule Dikteta Uchwara na ilikuwa kidogo nape apotezwe bila ya kumpigia magoti.
Kama Nape kajirudi basi Swadaktaa mbona.