Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
madanga yenyewe hayachuniki..yamegeuka makurumbembe magumu kama ngozi ya punda kumparara!Mpaka taifa litakapoolewa tena,kwa sasa linapata madanga tu.
Kwa sisi tulioishi kipindi rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yupo hai; tunaamini sana falsafa zake na hotuba zake bado zina mashiko sana.... HATA VYAMA VYA SIASA VINATUMIA QUOTES ZA NYERERE KWENYE KAMPENI ZAO.
SWALI LANGU NI JE.....! Baada ya kizazi hiki kinachaomjua NYERERE; yeye atabaki kuwa baba wa tanzania??
Mkuu Mbowe kakutelekeza na ujawepesi nini?!Mbowe atakuja kuwa baba wa taifa