Mwalimu Nyerere atakuwa Baba wa Taifa la Tanzania milele?

Mwalimu Nyerere atakuwa Baba wa Taifa la Tanzania milele?

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
3,732
Reaction score
6,561
Kwa sisi tulioishi kipindi rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yupo hai; tunaamini sana falsafa zake na hotuba zake bado zina mashiko sana.... HATA VYAMA VYA SIASA VINATUMIA QUOTES ZA NYERERE KWENYE KAMPENI ZAO.

SWALI LANGU NI JE.....! Baada ya kizazi hiki kinachaomjua NYERERE; yeye atabaki kuwa baba wa tanzania??
 
Kwani Tanzania itabaki milele ? Muungano wenyewe una expansion joints muda wowote unaweza kuachia
 
Hawezi kuwa baba wa taifa la tanzania milele maana mimba ya taifa Tanzania la tanzaniasiyo yake...ila kwa Tanganyika atabaki milele
 
Kwa sisi tulioishi kipindi rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yupo hai; tunaamini sana falsafa zake na hotuba zake bado zina mashiko sana.... HATA VYAMA VYA SIASA VINATUMIA QUOTES ZA NYERERE KWENYE KAMPENI ZAO.

SWALI LANGU NI JE.....! Baada ya kizazi hiki kinachaomjua NYERERE; yeye atabaki kuwa baba wa tanzania??

Laanatullahi mshenzi huyu adui wa uislamu na Waislamu . Wazanzibari hawatomsahau Kwa adhabu tulizozipata Kwa sababu ya uvamizi wake. Kuuliwa wazee na ndugu zetu na kila aina ya uchafu na mateso .Yaarabi tulipie Kwa aliyotufanyia Amin
 
Yaarabi akupunguzie jazba akujaalie moyo wa uvumilivu na hekma upate kukubali kuwa Julius Kambarage Nyerere Mtoto wa chief Burito atabaki na ataendelea kuwa BABA WA TAIFA LETU MIMI NA WEWE.
 
Back
Top Bottom