issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Alifanua mazuri na mabaya pia alifanya
...mmmh...mwalimu?!?!Alikuwa anaendeshwa sasa ajifunze kuendesha gari ili iweje?
Hii ya wake wawili ndio naisikia kwako ebu fafanua kiduchu hapo huyu mwanamke mwingine alikuwa na watoto wangapi na ikiwezekana tuwekee na majina yao.
Jina lako ni Tofauti na MAWAZO Yako.issa ramadhani said:kweli ila mazuri aliyofanya ni mengi kuliko mabaya
Kwani kuendesha gari ni lazima? Ni hitaji la msingi la binadamu ambayo ndio ilikuwa ajenda kuu ya Mwl. kwa Tanzania changa? Wanaotaka kundesha waendeshe, wasiotaka sio lazima.
nadhani kila mwanaJF anaifaham historia ya nguli wa siasa nchini tanzania,baba wa taifa,hayati mwalimu nyerere.ndugu ulishawahi kusikia kuwa hayati mwalimu alishawahi kuishi na wake wawili tu katika maisha yake?je ulishawahi kusikia kuwa mwalimu alikuwa hatumii vyakula vyenye gharama kubwa na visivyo na mafuta?lakini kali zaidi mwalimu hakuwahi kujifunza wala kutaka yaani kuweka nia na yeye aweze kuendesha gari,sasa basi hadi umauti unamkuta alikuwa hajawahi kuendesha gari hata siku moja.unamuenzije wewe mwanasiasa au mfuatiliaji siasa kwa hili?
Haikuwa lazima mzee wa watu aliogopa kugonga
Najua watu watamsema mamake na. mbowe..!ila sio yeye..!!