Mwalimu Nyerere hadi anafariki alikuwa hafahamu kuendesha gari

Najua watu watamsema mamake na. mbowe..!ila sio yeye..!!
Mmmh,,,,,,,,makubwa haya, kumbe hii tetesi kuwa jamaa ana undugu na akina Makongoro ni kweli?? Kuna thread iliwahi letwa humu kumuhusu ila sijui ilifutwa ile....!!!
 
Kuna ambaye kama hajui kuendesha ndege basi itakua uwezo wake tu mdogo lakini ingetakiwa ajue kutokana na kuishi humo zaidi ya ardhini
 

aisee...that was a very secretive issue,yet imeshajulikana
 

Umekata kilimilimi.
 
hata JK anajua kuendesha gari kweli.
 
Acheni kumjadili marehemu..IT IS WASTAGE OF TIME, jambo la msingi ni kuitazama Tanzania ilivyo sasa na nini kifanyike ili iweze kusonga mbele.
 

'He drove himself in a simple car, a little Austin'....Kwa maneno hayo bado nadhani haimanishi he was actually self driving himself...

I stand to be corrected maana lugha za watu
 
Unajifunza ili iweje, wakati mandondocha wa kuendesha mpaka kusukuma gari tulikuwepo. Yaani huwa najiuliza, tulivyokuwa tunajipanga barabarani toka asubuhi kumsubiri then yeye anapita saa saba tena wakati mwingine hata kumuona hatumuoni tunaambiwa ameshapita yumo gari ileeee...tulikuwa tunatumia ubongo kufikiri au ilikuwa kiungo kingine...
 
Inaonyesha jinsi watu wanavyokurupuka kuleta uzi bila utafiti. Watanzania ni wavivu sana kujisomea ili kupata maarifa.
 

Mnavyojibu utadhani mleta mada amelaumu yeye kasema tu Nyerere hakuwahi kuendesha gari, hakusema kama ilikuwa sawa au si sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…