boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Nakubaliana na wewe, Mzee
Nakubaliana na wewe, Mzee Mandela aliona mbali na akaiacha nchi yake katiba ambayo haiwezi kuchezewa na kufinyangwa finyangwa kwa matakwa ya kiongozi aliyepo madarakani ndiyo maana Zuma anaona kiti cha moto. Kinachomtia kiwewe ni katiba ambayo inalinda maslahi ya taifa na siyo matakwa na utashi wa aliyekalia kiti cha urais.
Polygon, amorphous, shapelessNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Mkuu Mwalimu JKN ni mmoja wa wanasiasa wa kiwango cha juu ambao hatokuja kusahaulika upesi.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Ila kama aliona udhaifu uliopo kwenye katiba kwanini hakulifanyia kazi ili katiba iwe kwa maslahi ya watanzania wote?Call a spade a spade plz.
sio kila kilichotamkwa na nyerere ni cha kishujaa/busara.
Hili la katiba mwl. yupo sahihi kabisa.
Ngoja nitafute milion saba za fain kwanza. Then nitachukua hatua...Udhaifu wake umekwisha ubaini,wewe binafsi umechukua hatua gani?
Yake kaiandika mwaka 77 na haikufaa tangu ameiandaa mpaka amekufa na haitakaa ifae.... je mwandishi wa katiba ya usa mwaka 1787 alikiwa anamzidi fikra za kidemokrasia Nyerere? Jibu ni ndiyo.... sasa je baada ya Nyerere kugundua kuwa haifai kwa nn hakuibadili? Labda tukamuulize mzee Butiku atatusaidia.....Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
YA Jaji Warioba na Kikwete iliishia wapi?? Ukipata jibu hili ndio urudi nyuma kutafakari hiyo ".... mbaya" ya mwalimuKatiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Polygon mkuu.Natafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Kwa tulipofikia sasa, Yesu atakuwa anaangushiwa zigo Zito kuliko hata ule msalaba. Hili la sasa labda tuiombee nchi kwa Jina la yule nabii wa Nigeria.Tuiombee nchi kwa jina la YESU.
Tehehehe, kizazi chako kimeamini vivyo, hata kesho kitukuu chako kikimlaumu Kikwete yote heri.J
Namlaumu sana na hata simwombei, alijua shida itatupata na akakaa kimya.
Pale unapojua tatizo halafu usifanye chochote unakuwa wewe ndio mwenye kubeba lawama wala sio huyo aliokosa Busara
The learned nyerere .........shule za mkoloni zilikuwa shule
Walisoma enzi za mwalimu, ila wakapata kazi enzi za Mwinyi, kipindi cha dirisha na milango ikiwa wazi.Ila Nyerere akaja kuziua na Kuanzisha Viota na Vitalu vya kukuzuia Mafisadi na ndio Leo hii wanatesa Taifa wote walisoma Enzi za Mwalimu.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Nyerere ndo alikuwa mtunga katiba?J
Namlaumu sana na hata simwombei, alijua shida itatupata na akakaa kimya.
Pale unapojua tatizo halafu usifanye chochote unakuwa wewe ndio mwenye kubeba lawama wala sio huyo aliokosa Busara