boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Nakubaliana na wewe, Mzee
Nakubaliana na wewe, Mzee Mandela aliona mbali na akaiacha nchi yake katiba ambayo haiwezi kuchezewa na kufinyangwa finyangwa kwa matakwa ya kiongozi aliyepo madarakani ndiyo maana Zuma anaona kiti cha moto. Kinachomtia kiwewe ni katiba ambayo inalinda maslahi ya taifa na siyo matakwa na utashi wa aliyekalia kiti cha urais.
Hiyo ndo tofauti ya Mandela na Nyerere huwezi kumwelewa Mandela kama una akiri ndogo