Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni sie Watanzania wenyewe. Subiri muone, uzi huu huu watakuja watu watasifia yanayotokea kuwa ni sawa. Sasa mnadhani hata mwenda wazimu akivua nguo hadharani na kucheza sindimba kama kuna watu wanamshangilia unadhani ataacha?
Sasa sikiliza jinsi Manasheria wenu Mkuu alivyomtukana:Jamaa alikuwa kama Nabii. Aliyasema haya miaka 35 iliyopita sasa yamekuwa kweli. RIP Baba wa Taifa.
CCM walipoambiwa wabadili katiba hawakuwa tayari wakadhani wao ndio wako salama.
Na huu ni mwanzo tu.
"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu" - Mwl. Nyerere 1982!
Sasa sikiliza jinsi Manasheria wenu Mkuu alivyomtukana:
Kwa bahati mbaya Yeye na Sisi hatukuchukua hatua yo yote. Leo hii Yeye hayupo, sisi tupo, hatuna la kufanya kwani tulitakiwa tupate ufumbuzi wakati ule ule alipotumbia. Yetu macho tu!
Mimi sijaelewa kama yeye alijua kwanini asiibadilishe yeye mwenyewe.wakati yeye ndio alioitungaJamaa alikuwa kama Nabii. Aliyasema haya miaka 35 iliyopita sasa yamekuwa kweli. RIP Baba wa Taifa.
Ndivyo mlivyo. Bahati nzuri historia inatunza unafiki wenu.Too late !!
Msikilizeni sasa Lissu hapa akimtukana Nyerere:
Kwa hiyo mnamsifia Nyerere kinafiki?Hii speech ya Lissu ni tamu na imejaa ukweli mtupu na hakuna alieweza kuipinga kwa hoja mpaka sasa.
"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu" - Mwl. Nyerere 1982!
Watatangaza?Muda si mrefu