Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Kwa hizi kauli Magufuli acha afanye lolote kwenye sheria za nchi hii!
 
Mwenye katiba ya zamani anitumie nisije kuwa mnafiki kutaka mpya wakati iliyopo siijui🚶🚶
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sn, tatizo unapokosa mahakama na bunge huru tegemea haya tunayoyaona, hakuna kitu kinanyika kinyume na matakwa ya dikteta na genge lake kwa sasa.
 
Kweli kabisa. Nyerere kama vile alikuwa nabii pumzika kwa aman Mzee wetu.
1615299511329.png
 
Back
Top Bottom