figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Unajua at the time mambo ya Vita Baridi na Mabeberu wa Kweli (sio wa sasa wa kufikirika) security-wise Zanzibar kwa Bara ilikuwa Threat kiasi gani ?Mwalimu alifanya makosa makubwa sana kutuunganisha na Wazanzibari, ambao kimsingi ni watu wasio na faida yoyote ile kwa Tanganyika mpaka sasa.
Kama angekuwa hai mpaka sass nadhani kitubio chake kikuu lingekuwa suala la kuunganisha zenji na baraMwalimu alifanya makosa makubwa sana kutuunganisha na Wazanzibari, ambao kimsingi ni watu wasio na faida yoyote ile kwa Tanganyika mpaka sasa.
Wewe kubali tu Mwalimu alikurupuka. Hiyo vita baridi ilikuwa inapiganwa kati ya Eastern Bloc chini ya USSR dhidi ya Western Bloc iliyokuwa chini ya Marekani na nchi za Ulaya Magharibi!Unajua at the time mambo ya Vita Baridi na Mabeberu wa Kweli (sio wa sasa wa kufikirika) security-wise Zanzibar kwa Bara ilikuwa Threat kiasi gani ?
Mbili kwa mtu / watu waliokuwa na Ndoto ya kuunganisha Afrika nzima let alone East-Africa unadhani jirani yako wa karibu ni nani ?
Zanzibar ni kama jikoni kwako wewe upo Chumbani..., Zanzibar walikuwa wametoka Masultan na wanaona hapo ni kwao Kumbuka hata Dar es Salaam (Bandari ya Salama ni Jina kutoka kwa Masultan)....Wewe kubali tu Mwalimu alikurupuka. Hiyo vita baridi ilikuwa inapiganwa kati ya Eastern Bloc chini ya USSR dhidi ya Western Bloc iliyokuwa chini ya Marekani na nchi za Ulaya Magharibi!
Sasa nikuulize Tanganyika ilikuwa upande gani kipindi hicho mpaka aiogope vita baridi, na hivyo kuiingiza Tanganyika kwenye huu Muungano wa kipuuzi wa changu changu, chako changu?
Sasa mtu kama Nyerere alikuwa na msimamo gani! Maana wakati wa uongozi wake alikuwa akijifanya kuwaponda mabepari na mfumo wa ubepari! Na hapo hapo akawakumbatia wakomunisti na mfumo wake wa nadharia wa ujamaa!Zanzibar ni kama jikoni kwako wewe upo Chumbani..., Zanzibar walikuwa wametoka Masultan na wanaona hapo ni kwao Kumbuka hata Dar es Salaam (Bandari ya Salama ni Jina kutoka kwa Masultan)....
Tukija unaongelea vita baridi iligombaniwa huko Eastern Bloc !???? Uliza kina Kwame Nkurumah, Sankara au Patrice Lumumba..., Yes CIA was involved in most of those.... CIA was known kusaidia Coups na kuweka vibaraka wake the world over... In short those were hard times kwa Kiongozi yoyote mwenye msimamamo tofauti (Hususan ukiwa against The Colonials Companies)
Twende polepole aliwakumbatia wakomisti like how..., au kuwapiga na kuwakatilia makampuni ya Kigeni kuwapa vitu kwenye silver platter ndio kuwaponda mabepari..., kuhimiza self reliance ndio kuwaponda mabepari... Kupinga NBC isipewe kwa watu kama pipi ndio kuwaponda mabepari ? Kuikatalia IMF mikopo yao yenye masharti ya ajabu (kukamua ng'ombe bila kumpa chakula ndio kuuponda Ubepari) ?Sasa mtu kama Nyerere alikuwa na msimamo gani! Maana wakati wa uongozi wake alikuwa akijifanya kuwaponda mabepari na mfumo wa ubepari! Na hapo hapo akawakumbatia wakomunisti na mfumo wake wa nadharia wa ujamaa!
Nyerere alikwenda Marekani kuomba misaada ? Misaada ya kitu gani unaweza kuweka agenda zilizokuwepo ? Nyerere mara nyingi alikuwa anakwenda huku na huko kipindi kile sio kwa ajili ya Tanzania pekee bali Ukombozi wa Africa nzima.... waomba misaada ni hawa wa sasa ndugu yangu... Jina la Masikini Jeuri kwa Nyerere halikuja kwa bahati mbaya....Lakini mara kibao tu alionekana kwenye hizo nchi za kibepari mfano Marekani, nk. kwenda kuomba msada. Tena ndiyo Nyerere huyu huyu aliyesifiwa kuwa na urafiki wa karibu na Rais wa Marekani John F. Kennedy miaka ya 1960's.
Mkuu, wewe umri si umeenda kidogo? Hujui kwanini Nyerere na mwenzake waliafiki muungano? Nia ilikuwa ni nini na kwanini dhambi kubwa ndani ya ccm ni kujaribu kuuvunja muungano?Mwalimu alifanya makosa makubwa sana kutuunganisha na Wazanzibari, ambao kimsingi ni watu wasio na faida yoyote ile kwa Tanganyika mpaka sasa.