Mwalimu Nyerere na sifa zisizobishaniwa

Hajawahi kufunguliwa kesi ya jinai akiwa madarakani, sidhani pia kama kuna kesi yeyote ile imewahi kufunguliwa akiwa madarakani! Ila uchunguzi mbalimbali juu ya mienendo yake umewahi kufanyika, not kupandishwa kizimbani
hii pia inasaidi na kutoa funzo kwa marais wengine kuepuka kufanya wanavyotaka
 
Pamoja na sifa zote hizo kwa nini alifahamu vizuri katiba yetu ilikuwa na mapungufu makubwa na ingeweza kutumika vibaya ila hakufanya jambo lolote kuirekebisha na kutuachia katiba bora?
Mkuu Yoda Moe japo credit ya kuwa aliweza kutamka kuwa Katiba yetu haikuwa nzuri.

Sioni sababu ya kumlaumu NERERE kuhusu kubadili kwa kuwa ndani ya miaka 60 ya Uhuru yeye katawala miaka 25 tu na miaka 35 wametawala Marais wengine 5 naa hawakubadili licha ya kwamba Mwalimu aliwaambia ni mbovu.
 
😍
 
mambo mengi sana hayako sawa
Hili la "mikutano ya ndani" alilianzisha Magu, swali linakuja mikutano ya ndani ni ipi? ni ile inayofanyika ndani ya kuta nne? Je unaweza kufanya mikutano ya ndani eneo la wazi? Kuna idadi maalum ya watu wa kuhudhuria mikutano ya ndani? Halijaelezwa popote hili
 
Simlaumu, ila huenda hakuwa na upeo mpana sana wa kutazama mbali kama tunavyoaminishwa.
Kama vyama vingi visingefutwa baada ya uhuru tungekuwa na mfumo Imara na wenye ushindani mkubwa sana wa vyama vingi leo hii.
 
Mkuu Wajinga Watakupinga tu
 
huyu mzee ndio msingi wa umaskini wetu tulionao. Ni hopeless kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…