Mwalimu Nyerere tangu mapema hakufurahia maendeleo ya Wazanzibar?

Mwalimu Nyerere tangu mapema hakufurahia maendeleo ya Wazanzibar?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
266
Waheshimiwa+katika+sherehe+za+mapinduzi.jpg

PICHA YA JUU NI MWALIMU NYERERE ALIESHIKA TAMAA NA KUONEKANA KAMA MTU ALIEKEREKA NA JAMBO KATIKA UFUNGUZI WA CHUO CHA UFUNDI HUKO ZANZIBAR 1963

nyerere-karume-b03.jpg
Akishiriki Muungano

Kwanini katika swala ukuaji wa elimu Zanzibar. Mwalimu alionekana Mnyonge na mtu kama anaefikiria kitu kilichomuudhi?
 
Umeuliza swali, na sisi tunakujibu, hatujui! Unajuaje nafsi yake! Wewe jamaa inaonekana ni mdini, mkabila na mfitini sana!
 
ndugu yangu wacha fitina zako pili hii picha sio ya mwaka 1963 ni uwongo huoo 1963 bado karume hajawa raisi wa zanzibar wacha kupotosha ukweli au ndio umetumwa na maccm wasiopenda ukweli
 
Pamoja na ukilaza wako unaokufanya upotoshe historia, Kwenye hiyo picha unaona nani mwenye furaha?
 
hii picha ni katika kusherehekea mapinduzi mwaka 1966 sio 1963 kama hujuwi uliza wangu usizushe uwongo
 
Mv butiama hivi wakristu wamekufanya nini?Maana wakati mwingine michango yako inakera kwani imekaa kiudini udini tu na kukurupusha ugomvi.
 
Waheshimiwa+katika+sherehe+za+mapinduzi.jpg

PICHA YA JUU NI MWALIMU NYERERE ALIESHIKA TAMAA NA KUONEKANA KAMA MTU ALIEKEREKA NA JAMBO KATIKA UFUNGUZI WA CHUO CHA UFUNDI HUKO ZANZIBAR 1963

nyerere-karume-b03.jpg
Akishiriki Muungano

Kwanini katika swala ukuaji wa elimu Zanzibar. Mwalimu alionekana Mnyonge na mtu kama anaefikiria kitu kilichomuudhi?

product za uamsho, ponda, radio imaan, sheikh ilunga kapungu na Mohamed Said
 
Mwache mpumbavu katika upumbavu wake .usibishane nae asije akakuparura .inatosha ushauri huu kwa mwenye akili zake.
 
Nakushauri ndugu yangu ebu tafuta hoja ambazo zitatujengea mawazo chanya kuliko hoja yako inayojaribu kutuondoa kufikiria hoja zenye tija. Tunaweza kukuona hujakomaa kimawazo. Mvazi huvaliwa kwa wakati wake. Nadhani nnikikwambia uvae nguo za enzi za mwalimu wakati anatafuta uhuru hautaweza. Sawa na wakati ule ungev nguo unazovaa sasa hivi za mlegezo usingeeleweka
 
Huyu mleta mada tangia amejiunga humu amekuwa mtu wa kukurupuka tu,udini chuki tabu tu
 
Back
Top Bottom