Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

What a concidence nyumba ya huyu Maka ndio mlangoni kwa Nyerere msasani hapo.....kwente kona kwenda Rose Garden.....
 
Ni kweli kabisa anamdharau sana mumewe. Huyu anasali kwa mwingira na anatoa sadaka ya mamilioni huku mumewe akiwa anakaa tu nyumbani hana hata senti tano. kwa kifupi ni mama mwenye roho mbaya sana hastaili kusifiwa hata kidogo. Yaani mzee siwale anaishi kama msukule wakati mkewe anaishi kama milionea.
Usome shairi la " usione ukazani"
 
Back
Top Bottom