..Mzee Butiku alipaswa kutoa madai haya mwaka 1995 au 2005 kabla ya uchaguzi.
..why didnt they speak out when everything was being played out right in front of their eyes?
..halafu hii ya kudai ati wamsaidie Raisi kuwaondoa wanamtandao ni kujidanganya tu. watamtenganisha na kumtofautisha vipi JK na watu/kikundi wanahusika moja kwa moja na kuchaguliwa kwake?
..sielewi ni mantiki gani anayotumia Mzee Butiku kuwakana wanamtandao, bila ya kumkana JK ambaye ndiyo mwana-mtandao nambari moja.
..kama mtandao hawafai basi hata Raisi aliyechaguliwa kwa juhudi za wanamtandao hafai.
NB:
..halafu mmesoma jinsi Jaji Joseph Warioba na Dr.Salim Salim walivyokuwa wakijaribu kumzuia Butiku asitoe madukuduku yake? sasa kama siyo UWOGA unaowasumbua hawa wazee ni kitu gani?
Huwapendi masheikh na walimu wa madrasa eh! weka issues wewe ni kilaza kwangu kuanzia madrasa, shule, chuo etc..i can bet..endelea kuchukia
yes iam sheikh, mwalimu wa madrasa, msomi na mfanyabiashara get your record you hater.
Sasa nadhani watu wataona kwa nini Nyerere alimpigia debe Mkapa. Mkapa might have been the wrong choice but mzee kwa wakati huo ndiyo aliona anafaa kutokana na wagombea wengine waliomzunguka. Mambo kama haya ndiyo ya kuanza kujua kabla hatujamlaumu Nyerere kuwa alimpigia debe "Mr. Clean".
The old man tried to do what he thought was right under the circumstances. Haya hata asingeingia Mkapa hali ingekua nafuu? Mbona kaondoka Mkapa mabo bado ni yale yale? History will judge Nyerere. Say what you want to say about the man but he loved his country.
Sasa nadhani watu wataona kwa nini Nyerere alimpigia debe Mkapa. Mkapa might have been the wrong choice but mzee kwa wakati huo ndiyo aliona anafaa kutokana na wagombea wengine waliomzunguka. Mambo kama haya ndiyo ya kuanza kujua kabla hatujamlaumu Nyerere kuwa alimpigia debe "Mr. Clean".
The old man tried to do what he thought was right under the circumstances. Haya hata asingeingia Mkapa hali ingekua nafuu? Mbona kaondoka Mkapa mabo bado ni yale yale? History will judge Nyerere. Say what you want to say about the man but he loved his country.
Wote hao watachonga saaaaaaaaaaaana JK anakula good time Quba kwa raha zake.
Ivi mumegundua JK suala ambalo ninyi mko serious nalo kwa maslai ya nchi yeye kwake ni opposite
nakubaliana yote na akinba butiku, lakini,hawaiendelezi M Nyerere foundation kama ipasavyo na watasingizia hawapati pesa za kutosha from gov. Kuna mambo zaidi ya hutuba wanaweza fanya......kama nilivyoeleza hapo nyuma hata kutoa scholarships za elim ya juu, japo tatu kwa mwaka they can do that for sure. Ila daily wao ni kuikandia tu serikali as if ndo kazi ya Mwali Nyerere Foundation.
Tanzanians Talk too much. We talk the walk and never walk the talk and then we boost ourselves that we walked the talk.
Tulivyopata uhuru tulikuwa na uchumi mzuri kuliko Malasia sasa wenzetu wako ulimwenga a pili sisi wa nne. What are we waiting for ? death?
Phillemon Mikael
Elewa point yangu kaka nilivyoiandika, in short me siko impressed na hao jamaa, not because wanaikosoa Gov, hapana...hawafanyi kazi kwenye iyo foundation kama inavyotakiwa. Wameiturn foundation kuwa kama ka institution ka siasa wakati inatakiwa ifanye mengi sana kwa jamii, sio kutoa hutuba tu kila siku.
Mie kwa habari za karibu nafahamu kuwa Mwinyi alikuwa akisali sana na Nyerere pale St. Peters. Tukiwa wadogo na Tumaini tulikuwa tukiwaona wakisali wote pale. Na cha zaidi, Mwinyi alikuwa akitoka kilomita kama 8 na robo kutoka Butiama. Ukichunguza sana utaona Mwinyi pia alikuwa amechonga meno ila sema baba yake alikuja hamia Zenji wakati Mwinyi akiwa mdogo. Tumaini nasikia alibeba hadi mizigo yao wakati wakihama. Wakati huo alikuwa Punda. Alipokufa akazaliwa upya kama Tumaini.
Jibu kwanza post ya zungu..ndiyo ujibu yangu usiwe selective..yeye ndio ameanzisha mambo ya sheikh..mimi nikamjibu ok.Mkuu taasisi ya mwalimu Nyerere inahusiana vipi na masheikh?Ama nimepotea thread?lol!Hata hivyo give mwalimu a break,Rashid Kawawa naye mtu wake walisali naye St Peters ama?