Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
Poleni sana wana Pugu, siye tuliomaliza miaka ya mwanzoni ya 90, hatuwezi kumfahamu huyo mwalimu...RIP Rwezaura!!
Ndio tumemuaga Mwl Rwezaula jumamosi hii.
Bila shaka sie tulio mazao yake tutaendeleza yale yote aliyoyaacha vichwani mwetu.
Rest In Peace.
RIP Kamanda
Ila kuna shida ya hawa wataalamu wetu usikute hajaacha ata kitabu ili ule ufahamu uwe transfered kwa vizazi na vizazi.
Kuna haja ya serikali kuwafund hawa walimu angalau wawe wanatunga vitabu tena ikiwezekana kuwe na scheme ya kupromote uandishi bse kuna majembe yakifa ndo imetoka