Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
Habar wakuu, ni tetesi ambazo nilipata juz kutoka kwa classmate wangu Evaristo Nyondo tuliomaliza nae Pugu boyz '07 kwamba mwalimu mtaalam Wa Advanced maths amefariki dunia toka juzi,ndo natafuta mawasiliano na mwanae Anesius,tutapeana updates zaid.