Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
We jamaaa mkorofi sana 😄😄Vipi na wewe ulimbebea Mimba Ticha Sara?
Kamanda nilikuwa na demu Kwa jina Secilia alisoma Adrian Mkoba Sec school alithibitisha Tabia ya Sarah, ila sijui kwa nini hakuwahi kufungwa Mvua ,30Zilikuwaga story tu mkuu hakunaga kitu kama hicho
Demu wako mlipewa mimba?Kamanda nilikuwa na demu Kwa jina Secilia alisoma Adrian Mkoba Sec school alithibitisha Tabia ya Sarah, ila sijui kwa nini hakuwahi kufungwa Mvua ,30