Mwalimu Shule ya Msingi atuhumiwa kumdhalilisha kisha kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano Pemba

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, litampandisha Mahakamani wakati wowote, Mwalimu skuli ya Msingi ya Madungu wilaya ya Chake chake Pemba, Ali Makame Khatib, akidaiwa kumchezea sehemu zake za siri na kisha kumbaka, mwanafunzi wake wa darasa la tano skuli hapo.

Taarifa za Jeshi hilo, zilizotolewa na Kamanda wa Jeshi hilo mkoani humo, Abdalla Hussein Mussa alisema, kwa sasa wanaendelea kumuhoji mwalimu huyo, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili, na kisha taratibu zikikamalika atafikishwa mahakamani.

Alieleza kuwa, awali walipokea taarifa za malalamiko kutoka kwa mama mzazi wa mtoto huyo, akidai mtoto wake, amechezewa na kisha kuingiliwa na mwalimu wake.

Kamanda huyo alieleza kuwa, baadae taratibu za kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo, zilifuata na kuanza kuhojiwa juu ya tuhuma hizo.

Awali mama mzazi alidai kuwa, aligundua tatizo hilo kwa mtoto wake, baada ya kusikiliza moja ya kituo cha redio kikielezea aina za udhalilishaji.

Mama huyo alieleza kuwa, mtoto wake alimuambia kuwa, kama ni hivyo mwalimu wake, amekuwa akimchezea sehemu zake wakati anapotaka kumuadabisha akiwa skuli na wakati mwengine kumvua nguo yake ya ndani.

''Baada ya kuniambia hivyo, nilikwenda kituo cha Polisi Madungu wilaya ya Chake chake, na kutoa taarifa na kisha kukabidhwa fomu maalum ya 'PF3' na kwenda nayo kituo cha Mkono kwa mkono hospitali ya Chake chake,''alieleza.

Kisha mama huyo alirudi kituo cha Polisi Madungu na ndipo mwalimu huyo (mtuhumiwa) alipokamatwa na kuanza kuhojiwa.

Baadhi ya wananchi waliokataa kutaja majina yao, walisema mwalimu huyo amekuwa na tabia hiyo, na ndio maana amekuwa akihamishwa kutoka skuli moja kwenda nyingine.

Walisema wamekuwa wakimfuatilia mwalimu huyo, kutokana na vitendo vyake, ingawa hawakuwa wakipata ushahidi kamili.

Source: Pembatoday
 
Afungwe huyo ili ashike adabu.
 
Mambo ya pemba bana

Mwalimu mwenyewe anakula urojo
nguvu anapata wapi au ndo wale wale tu
I'm sorry to say this, ila wazanzibari huwa Ni Kama matahira, Mwalimu mbakaji wanamuamisha shule moja kwenda nyingine ili azidi kubaka !!!
 
Kama ni kweli, Akafungwe tu, wamlete bara
...
 
I'm sorry to say this, ila wazanzibari huwa Ni Kama matahira, Mwalimu mbakaji wanamuamisha shule moja kwenda nyingine ili azidi kubaka !!!
Nadhani ni shauri ya kukosekana ushahidi.
Nami wakati nasoma kuna mwalimu mjaluo yule nakumbuka alikua mshenzi sana anampapasa demu makalio, huyo binti alikua na kinu sio mchezo. Ila siku moja nilimtolea za mbavu nikakunjana na huyo ticha. Siku 1 tumekutana uraiani ofisi za Tanesco, nikamkumbushia akawa anachekacheka.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, litampandisha Mahakamani wakati wowote, Mwalimu skuli ya Msingi ya Madungu wilaya ya Chake chake Pemba, Ali Makame Khatib, akidaiwa kumchezea sehemu zake za siri na kisha kumbaka, mwanafunzi wake wa darasa la tano skuli hapo.

Taarifa za Jeshi hilo, zilizotolewa na Kamanda wa Jeshi hilo mkoani humo, Abdalla Hussein Mussa alisema, kwa sasa wanaendelea kumuhoji mwalimu huyo, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili, na kisha taratibu zikikamalika atafikishwa mahakamani.

Alieleza kuwa, awali walipokea taarifa za malalamiko kutoka kwa mama mzazi wa mtoto huyo, akidai mtoto wake, amechezewa na kisha kuingiliwa na mwalimu wake.

Kamanda huyo alieleza kuwa, baadae taratibu za kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo, zilifuata na kuanza kuhojiwa juu ya tuhuma hizo.

Awali mama mzazi alidai kuwa, aligundua tatizo hilo kwa mtoto wake, baada ya kusikiliza moja ya kituo cha redio kikielezea aina za udhalilishaji.

Mama huyo alieleza kuwa, mtoto wake alimuambia kuwa, kama ni hivyo mwalimu wake, amekuwa akimchezea sehemu zake wakati anapotaka kumuadabisha akiwa skuli na wakati mwengine kumvua nguo yake ya ndani.

''Baada ya kuniambia hivyo, nilikwenda kituo cha Polisi Madungu wilaya ya Chake chake, na kutoa taarifa na kisha kukabidhwa fomu maalum ya 'PF3' na kwenda nayo kituo cha Mkono kwa mkono hospitali ya Chake chake,''alieleza.

Kisha mama huyo alirudi kituo cha Polisi Madungu na ndipo mwalimu huyo (mtuhumiwa) alipokamatwa na kuanza kuhojiwa.

Baadhi ya wananchi waliokataa kutaja majina yao, walisema mwalimu huyo amekuwa na tabia hiyo, na ndio maana amekuwa akihamishwa kutoka skuli moja kwenda nyingine.

Walisema wamekuwa wakimfuatilia mwalimu huyo, kutokana na vitendo vyake, ingawa hawakuwa wakipata ushahidi kamili.

Source: Pembatoday
Huko kuna shida, kuna RC alitajwa kuwa na mienendo ya hivyo aliishia wapi
 
Mnaosema afungwe mna ushahidi kama ni kweli katenda hayo? Je kama alikuwa mchepuko wa huyo mama kisha kampiga chini ndio kaona alipize kwa njia hiyo je?!
 
Nadhani ni shauri ya kukosekana ushahidi.
Nami wakati nasoma kuna mwalimu mjaluo yule nakumbuka alikua mshenzi sana anampapasa demu makalio, huyo binti alikua na kinu sio mchezo. Ila siku moja nilimtolea za mbavu nikakunjana na huyo ticha. Siku 1 tumekutana uraiani ofisi za Tanesco, nikamkumbushia akawa anachekacheka.
Alikuwa na "kinu" au una maanisha "kishundu"?
 
Zenj huyo hafungwi,unaweza kusikia ameozeshwa tayari,
Kwanza Hana kosa,mtume wao alioa Binti wa miaka 7!!ustaadh kafata nyayo
Mkuu alimbaka akiwa na miaka sita na kupotezea kumuoa akiwa na miaka tisa. Halafu huyo Aysha madhehebu ya Shia wanamchukia balaa. Halafu alikuwa anagawa kichiz hadi kwa wafanyakaz wa Mudy. Marafiki wa Mudy walimshauri amuache lakini mudy alikomaa. Halafu alikuwa na nyodo na dharau na kumuonea na kumnyanyasa Mke mwengine wa Mudy myahudi Saffiya bint huyyay
 
Back
Top Bottom