Mwalimu si wa kumchezea..tizama hii

Mwalimu si wa kumchezea..tizama hii

galaxy 14

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
27
Reaction score
7
Akiamua kuharibu ana haribu kweli uploadfromtaptalk1374087529402.jpg
 
Wewe acha dharau, mtihani mgumu kabisa huu..! Think of a student ambaye hajui kusoma wala kuandika.
 
mnajua tu dktr nde anaweza kukuzidishia au kupunguza dozi, hamjui mwl ni dkt pia?

haijalishi ni darasa la ngapi, ikiwa ni la nne au tano, je mtoto amepimwa nini?
 
Sa si ndo fresh,full kufauru hadi six,uzuri wa chuo tunakutana na wahadhiri full manoknewledge tunaachana na walimu uchwara ambao kazi yao kuuza vitumbua na kugegeda wadogo zetu huku kila kukicha wakidai mishahara wakati wamefoji vyeti
 
no reality tuweni serious katika kuwahukumu walimu hawa cause twaweza kuwa tunachangia kudidimiza elimu pasi kujua. endapo utanithibitishia ni shule ipi katika tanzania na darasa lipi? bila shaka tutajenga imani nawe kama sivyo basi wakati mwingine thread kama hii fb pahala pake
 
Wewe acha dharau, mtihani mgumu kabisa huu..! Think of a student ambaye hajui kusoma wala kuandika.

Kama wale wasiojua kusoma na kuandika afu wakafaulu kwenda kidato cha kwanza... Mmh
 
Back
Top Bottom