Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
"Tusifanye makosa hayo, kwa sababu tukifanya hivyo tutakuwa tumewaambia CCM watambe lakini pia ukiachilia nafasi ya urais, tutaacha bunge la wapiga makofi bungeni na hakutokuwa mtu wa kuwatetea wananchi," amesema Mwalimu.
"Tusifanye hayo makosa, tukapige kura tuchague viongozi wa upinzani ambao watakuwa watetezi wetu, kuanzia rais, wabunge na madiwani, wote tukachague kutoka upinzani."-Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu