Mwalimu wa Chemistry na Biology anapatikana

Mwalimu wa Chemistry na Biology anapatikana

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
Habari za kazi wanawajf.Mimi ni mwalimu natafuta kazi ya kufundisha masomo ya biol na chem olevel na Alevel.Asante.0769 713247
 

kuna shule dar inatafuta walimu wa sayance (jina nimesahau),,,but nakuomba usikilize radio maria hasa baada ya taarifa ya habar ya 20:00,,Baada ya taarifa ya hbr wanatangaza matangazo mbalmbal Ikiwemo tangazo la hyo shule,.
 
Back
Top Bottom