Mwalimu wa chemistry na biology huyu hapa

Mwalimu wa chemistry na biology huyu hapa

free gage

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
76
Reaction score
6
wapendwa kwa yeyote anaefahamu shule yenye uhitaji wa mwalimu wa chemistry na biology nipo hapa ...
 
upo tayari kuja njombe anahitajika mwl wa chemistry.kwa maelezo zaid tuwasiliane 0764709147
 
kama upo tayar tuwasiliane kwa no.0764709147
 
Siamini kama kweli kuna mwalimu(competent) wa chemistry anatafuta ajira kwa njia hii!
Hapa kuna tatizo..
 
we una matatizo kijana unajua niko wapi kwa sasa na nina lengo la kufanyia kazi wapi
 
kwa shule yenye uhitaji wa mwl wa kemia na biolojia anapatikana lakin mikoa ya mwanza na shinyanga
 
...una shingapi mwalimu nikuletee watoto wangu....
 
Back
Top Bottom