Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Kama wewe tuKuna jamaa yangu alisoma hicho chuo ila ni kiropolopo sana. Ana mdomo wenye kelele nyingi kama chiriku.
Wanaokuwa mwingi na mimi ukiwaambia mimi nipo kama huyo jamaa watakutoa baruuuuu.Kama wewe tu
Mnakubali vipi kupelekeshwa na MTU,MTU mwenyewe mnaigeria,unapigishwa magoti mtu uko chuo?.hebu hakiki vizuri hapo ulipo sio darasa la sita B kweli?Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara.
Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa alipe Shilingi 40,000 idarani.
Ukifeli hospital attachment ama rotation unatakiwa ulipe Shilingi 40,000 idarani. Mara kadhaa tumepeleka malalamiko management hatujasikilizwa, Wanafunzi tunateseka hatuna wa kututetea.
Wanafunzi wa mwaka wanne anatunyima haki kwenye specialization anataka watu waende area ambazo hawataki ku-specialize, tukitaka kwenda kwa wakuu wa chuo anasema hawawezi kusaidia.
Wanafunzi akifiwa hata na wazazi hauruhusiwi kumiss darasa wala mitihani anakwambia ukienda kumzika atafufuka, ana majibu mabaya sana Dr V.
TCU tunaomba mfatilie hili suala la wageni kuwa wengi kwenye Chuo Kikuu cha Kampala.
Aah wapi!Wanaokuwa mwingi na mimi ukiwaambia mimi nipo kama huyo jamaa watakutoa baruuuuu.
Nenda kasome tena John 8 mtumishi/mtumwasijui hata nacheka nini.
Anyways hongereni, mtakuwa watumwa (watumishi) wazuri sana.
Nini kazi ya chama chenu cha wanafunzi?Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara.
Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa alipe Shilingi 40,000 idarani.
Ukifeli hospital attachment ama rotation unatakiwa ulipe Shilingi 40,000 idarani. Mara kadhaa tumepeleka malalamiko management hatujasikilizwa, Wanafunzi tunateseka hatuna wa kututetea.
Wanafunzi wa mwaka wanne anatunyima haki kwenye specialization anataka watu waende area ambazo hawataki ku-specialize, tukitaka kwenda kwa wakuu wa chuo anasema hawawezi kusaidia.
Wanafunzi akifiwa hata na wazazi hauruhusiwi kumiss darasa wala mitihani anakwambia ukienda kumzika atafufuka, ana majibu mabaya sana Dr V.
TCU tunaomba mfatilie hili suala la wageni kuwa wengi kwenye Chuo Kikuu cha Kampala.
Sasa mtu km wewe ndiyo mwanafunzi wa university? Hujui tofauti na lecture na Lecturer, amewaona maboyaWanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara.
Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa alipe Shilingi 40,000 idarani.
Ukifeli hospital attachment ama rotation unatakiwa ulipe Shilingi 40,000 idarani. Mara kadhaa tumepeleka malalamiko management hatujasikilizwa, Wanafunzi tunateseka hatuna wa kututetea.
Wanafunzi wa mwaka wanne anatunyima haki kwenye specialization anataka watu waende area ambazo hawataki ku-specialize, tukitaka kwenda kwa wakuu wa chuo anasema hawawezi kusaidia.
Wanafunzi akifiwa hata na wazazi hauruhusiwi kumiss darasa wala mitihani anakwambia ukienda kumzika atafufuka, ana majibu mabaya sana Dr V.
TCU tunaomba mfatilie hili suala la wageni kuwa wengi kwenye Chuo Kikuu cha Kampala.
Nakuapia.Aah wapi!
Sijaelewa John 8 inahusiana vipi hapa.Nenda kasome tena John 8 mtumishi/mtumwa
Yaaaaani, ati nini?Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara.
Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa alipe Shilingi 40,000 idarani.
View attachment 3599350
Mfano tukio hili aliwapigisha magoti chini Wanafunzi tena kwenye Laboratory sehemu ambapo kuna uchafu mwingi wa kikemikali. Hivi ni sawa kweli Wanafunzi wa Chuo Kikuu kupigishwa magoti darasani kwao kama hivi?