Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Pole kwa hao madogo
Au labda sio chuo 😛Mna pigishwa magoti na mwalimu mpo chuo 😆 nyie wawapi nyie
Hiyo TAHLISO ndio kapo kale kasenge kachawa ka mama Dully si ndio wale wale wasiojua vibaya.Tahliso
😂😂😂Kuna jamaa yangu alisoma hicho chuo ila ni kiropolopo sana. Ana mdomo wenye kelele nyingi kama chiriku.
😂😂😂Mnakubali vipi kupelekeshwa na MTU,MTU mwenyewe mnaigeria,unapigishwa magoti mtu uko chuo?.hebu hakiki vizuri hapo ulipo sio darasa la sita B kweli?
Nimeshangaa! 😂😂😂Wewe. Unajua maana ya chuo kikuu kweli rafiki???
huyo ng'ombe anawadharau kwa sababu ya .................Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara.
Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa alipe Shilingi 40,000 idarani.
View attachment 3599370
Mfano tukio hili aliwapigisha magoti chini Wanafunzi tena kwenye Laboratory sehemu ambapo kuna uchafu mwingi wa kikemikali. Hivi ni sawa kweli Wanafunzi wa Chuo Kikuu kupigishwa magoti darasani kwao kama hivi?
Ukifeli hospital attachment ama rotation unatakiwa ulipe Shilingi 40,000 idarani. Mara kadhaa tumepeleka malalamiko management hatujasikilizwa, Wanafunzi tunateseka hatuna wa kututetea.
Wanafunzi wa mwaka wanne anatunyima haki kwenye specialization anataka watu waende area ambazo hawataki ku-specialize, tukitaka kwenda kwa wakuu wa chuo anasema hawawezi kusaidia.
Wanafunzi akifiwa hata na wazazi hauruhusiwi kumiss darasa wala mitihani anakwambia ukienda kumzika atafufuka, ana majibu mabaya sana Dr V.
TCU tunaomba mfatilie hili suala la wageni kuwa wengi kwenye Chuo Kikuu cha Kampala.
Hapo MUM ni kituko cha mwisho, pale chuo au Primary? Maana kuna sec zingine hazina ule uwaki.Kuna wale wa muslim university hadi viboko wana chapwa
Wa KIUT, 😂😂😂Mna pigishwa magoti na mwalimu mpo chuo 😆 nyie wawapi nyie
Naomba samare pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz!
Kiliba anawaza kumsifia mama ake dailyTahliso