Digital Ticha
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 110
- 169
Habari,
Mimi ni mwalimu ninaefundisha Civic and Moral Education, Social Studies na Kiswahili kwa primary schools. Additionally, naweza kufundisha matumizi ya Computer.
Lakini pia ninaweza kufundisha History, Civics na English kwa secondary schools.
Elimu yangu ni Digrii ya Elimu (Bachelor of Arts with Education, PS - Linguistics) & Certificate of Teaching Kiswahili kutoka BAKITA.
Ninaweza kufundisha vizuri, kusimamia maendeleo ya wanafunzi, kufatilia nidhamu, kushirikiana na wazazi na kusaidia majukumu ya uongozi wa shule kwa kadri nitavyopangiwa.
Naomba mwenye connection au information inayoweza kunisaidia kupata kazi anisaidie huu mwaka na mimi nianze na ajira.
Napatikana Dar es Salaam lakini naweza kufanya kazi sehemu yoyote.
Shukrani,
DT