wadau mimi ni graduet wa fani za ICT ,Nina hitaji kazi ya kufundisha course mbali mbali za ICT , Kama computer application, databases,programming,operating systems and servers. nimefaulu vizuri katika shahada yangu, nikotayari kufanya kazi popote kama tutaelewana .
kama kuna nafasi ni pm
natanguliza shukrani