mwalimu wa computer/ICT in general

mwalimu wa computer/ICT in general

koplo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
574
Reaction score
153
wadau mimi ni graduet wa fani za ICT ,Nina hitaji kazi ya kufundisha course mbali mbali za ICT , Kama computer application, databases,programming,operating systems and servers. nimefaulu vizuri katika shahada yangu, nikotayari kufanya kazi popote kama tutaelewana .
kama kuna nafasi ni pm
natanguliza shukrani
 
Anzia kujitolea ku-update ant-virus za internate cafe za watu na kushinda maeneo hayo, wteja wanaokuja kutumia net tutakuona na kuona jitihada zako. Hapo tutakuiba kwa dau kubwa bila kujua kuwa hapo unajitolea tu. Nadhani huu utakuwa mwanzo mzuri
 
Ushauri ntaufanyia kazi
 
Are you CCNA,CCNP for networking , MCSA, MCSE for severs , for Database are OCA , OCP ,for Programming are you strong in .Net Technology or JAVA/J2EE ,for OS are strong in Window,Linux,Mac ?

Please nipe majibu. Degree peke yake haitoshi kwenye ICT.

Then tuma kwenda email:

sumasumamasumasu@yahoo.com
 
mkubwa hiyo email mbona haipokei
thanx kwa ushauri
 
Kama unajiamini ingia kwenye ujasiriamali kama wenzenu wa Kenya wanavyofanya. Sijui hapa Tanzania kama kuna chombo cha kuwaunganisha vijana kwa ajili hiyo kama ilivyo Kenya. Huko kuna mipango inayojulikana kama Innovation Incubators. Vijana wa Kenya wamesonga mbele katika ubunifu katika ICT na sasa wanatengeneza applications kwa ajili ya smart-phones na simu zingine ambazo zimeishapata umaarufu kimataifa. Hata M-pesa naambiwa ilibuniwa na vijana kwa mtindo huo. Kuweni wabunifu, tumieni taaluma zenu badala ya kutaka ajira za kitumwa tu.
 
@Koplo,unajua mambo yote hayo kwenye IT then Ajira ya nini kiongozi.....Kuna vitu viwili hapa
1.Unajua vitu theoretically na uwezi kufanya hayo unayotaka kuwafundisha watu wafanye au
2.Unajua vitu Theoretically and practically lakini wewe ni mwalimu kwa wito......Ingawa ili la pili ni vigumu kuapply kwako
kwani hata hiyo kazi ya kufundisha bado unatafuta,mara nyingi wanaojua huwa wanafanya vitu practically wanafunzi wanaona kisha wanawakimbilia ili wawe impacted na hiyo knowledge ya mjuzi....
kama serious unajua hayo mambo yote mkuu wewe ni very potential tafuta chance ya kuweza kuexpose hayo uyajuayo
..tunaweza wasiliana kisirisiri tutasaidiana ushauri zaidi.
 
Thanx kwa michango, kwa ujumla napenda sana kujiajiri na kuwa na kampuni yangu tatizo mtaji ,ndio maana natafuta pakutafutia mtaji ili niwena ofc binafsi
 
Kaka kama umefanya IT natumai unamiliki Computer,sasa mbona huo ni mtaji tosha kwa kuanzia kiongozi??
Sema wapi uelewi wadau wasaidie....Uhitaji kuwa na mamilioni kujiajiri katika IT kama kweli vitu viko mwilini kaka.....issue ya kumiliki kampuni baadae sanaaa mkuu.
 
Back
Top Bottom