Mwalimu wa diploma mwenye salary 1M lazima akae kazin miaka mingapi?

Mkuu maisha ni kuchagua, mimi sasa nina zaidi ya miaka kumi kazini nikiwa Mwalimu wa diploma masomo ya sanaa, basic salary ni 780K na take home ni almost 500K+ weka na akina bayput, Crdb, nmb nk . Take home inabaki 200K,hatari sana yaani
Hongera sana aisee, na ukute unamudu maisha, kitambi juu.
 
Mkuu maisha ni kuchagua, mimi sasa nina zaidi ya miaka kumi kazini nikiwa Mwalimu wa diploma masomo ya sanaa, basic salary ni 780K na take home ni almost 500K+ weka na akina bayput, Crdb, nmb nk . Take home inabaki 200K,hatari sana yaani
Unaishije na hyo 200k mkuu
 
Mpaka kifo.
 
Ukiajiluwa 2024, utapata basic ya zaidi ya milioni mwaka 2038!! Take home ya zaidi ya m itakuwa 2042!!!

Magufuli akifufuka Hadi unastaafu hutalamba takehome ya m
 
Unaponda huo mshahara ukiwa tayari umekwisha pata ajira ama bado?
 
Huna ajira na bado unausimanga mshahara ambao haujaushika aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…