sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Hongera sana aisee, na ukute unamudu maisha, kitambi juu.Mkuu maisha ni kuchagua, mimi sasa nina zaidi ya miaka kumi kazini nikiwa Mwalimu wa diploma masomo ya sanaa, basic salary ni 780K na take home ni almost 500K+ weka na akina bayput, Crdb, nmb nk . Take home inabaki 200K,hatari sana yaani