Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Mkakati mzuri huu, traffic ikiwa kubwa utavuna kwa utele YouTubeVijana mnao soma olevel kuanzia kidato cha kwanza hadi ya Sita.
Jifunzeni hesabu online kwa huyu teacher yupo nondo sana.
Channel yake ya YouTube ni:
View: https://youtu.be/Y77Sx4L-RVw?si=tlGThfXpJSUdupmz
Anafundisha bure
Ni kweli mkuu ila sio mimi mwalimu mmoja wa shule ya sekondariMkakati mzuri huu, traffic ikiwa kubwa utavuna kwa utele YouTube
Hiyo ni kwaajili ya elimu ya sekondari mkuuTumia kiswahili....utawasadia wengi......
kofia huuzwa dukani mwa daudi senti mia ......
Nimekupata mkuu Elinasi.....Hiyo ni kwaajili ya elimu ya sekondari mkuu
Hujui tofauti ya Hesabu (Arithmetics) na Hisabati ( Mathematics).Vijana mnao soma olevel kuanzia kidato cha kwanza hadi ya Sita.
Jifunzeni hesabu online kwa huyu teacher yupo nondo sana.
Channel yake ya YouTube ni:
View: https://youtu.be/Y77Sx4L-RVw?si=tlGThfXpJSUdupmz
Anafundisha bure
Zote ni hesabu tu mkuu.Hujui tofauti ya Hesabu (Arithmetics) na Hisabati ( Mathematics).
Huo ni upotoshajiZote ni hesabu tu mkuu.
Upotoshaji kivipi ?Huo ni upotoshaji