Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mimi ni mwalimu pia afisa utumishi wa uma,ninayo habari njema kwenu, na watoto wenu, kuwa ninafundisha somo la kiingereza kwa weledi mkubwa na kwa gharama nafuu( 150000-300000) kwa mwezi. Yeyote aliye maeneo ya Dodoma anaweza kunitafuta kwa kunipigia simu namba 0714270416. Lakini pia Niko tyr kutoka nje ya mkoa huu kwa yeyote atakanihitaji. Naomba kuwasilisha.