Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

Kila siku tunalaumu Polisi kujaza watu sero bila dhamana, tuzoee huu utamaduni, yawezakana chanzo wameshakijua siyo kinachoweza pelekea kuendekea kupigwa.
Kwa hiyo unahalalisha mwalimu mkuu kumpiga mwalimu kama chanzo ni halali?!!
 
Naam. Atakuwa sasa anafundishwa au atakuwa anajifunza taaaratibu jinsi ya kuwa na subira.😕
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kamtoa mwanamke ngeu jamaa lina hasira za kijinga, tuwe tunaangalia na majina ya kuwapa watoto wetu, mwalimu mkuu anaitwa hasira
 
Mkuu hairuhusiwi kupiga,sheria ya kupiga kwa jambo lolote ulilofanyiwa haipo. Zipo mamlaka za kupeleka hayo machangamoto, ila ukipiga umejiondolea haki upande wako. Unahukumiwa moja kwa moja. Bahati mbaya jamaa kapiga mwanamke alafu mwalimu mwenzie atajinasuaje?.
 
Kaka; Hapo IMEKULA KWAKE moja kwa moja.
 
Kuna haja ya kuacha kuwapa majina mabaya wanetu kwani yanawaathiri hadi kwenye utu uzima wao japo si wote. Huyu Bwana Hasira ana hasira na hana busara. Kumsaidia ni kumfukuza kazi ili aone kama hasira zake zitalisha familia yake ili liwe somo kwa Hasira wengine.
 
Reactions: BAK
Jamaniii!!!, Kumbe Mwalimu wa kike alikuwa mzuri hivi ??!!!.Dah!!!, Eti ameng'olewa jino moja,hadi huruma.Ukute jamaa alinyimwa Papuchi akaamua kumfanyizia.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…