mwalimu wa kiswahili anaitajika haraka sana

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
mwalimu
wa kufundisha somo la Kiswahili manispaa ya Bukoba mwenye Shahada au
stashahada anaitajika haraka sana. Utapewa nyumba,chakula na usafiri wa
kutoka kazini na kuja kazini na huduma ya afya.Nipigie namba 0752723242
au ni bipu.
 
Jaribu kunichek kwa namba 0752796133, mi ni mhitimu wa shahada Kiswahili & History!
 
mwalimu
wa kufundisha somo la Kiswahili manispaa ya Bukoba mwenye Shahada au
stashahada anaitajika haraka sana. Utapewa nyumba,chakula na usafiri wa
kutoka kazini na kuja kazini na huduma ya afya.Nipigie namba 0752723242
au ni bipu.

Nyumba,usafiri,matibabu na chakula sawa,vipi kuhusu mshahara mbona hausemi? Watalipa tsh ngapi?
 
huyu nae lol, ukiamua kusema sema yote.... MSHAHARA NI SHILINGI NGAPI??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…