Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwalimu
wa kufundisha somo la Kiswahili manispaa ya Bukoba mwenye Shahada au
stashahada anaitajika haraka sana. Utapewa nyumba,chakula na usafiri wa
kutoka kazini na kuja kazini na huduma ya afya.Nipigie namba 0752723242
au ni bipu.