Mwalimu wa kubadirishana kituo cha kazi

Mwalimu wa kubadirishana kituo cha kazi

Ctr

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
505
Reaction score
228
Mimi ni mwalimu wa sekondari hapa manispaa ya Musoma natafuta mwalimu wa kubadirishana kituo kutok8a manispaa ya Morogoro,manispaa ya Dodoma.Kwa aliyekuwa tayari tafadhari tuwasiliane
 
Hebu fafanua mkuu sijakuelewa ulikuwa unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom