Hello, jf salamun: natafta mwalimu wa kubadirishana nae kutoka Morogoro wilaya ya kilombero kuja mbeya- Rugwe. kwa alie taari au anataarifa za alie tayari naomba pia tuwasiliane.... kwa mawaasiliano haya.... namba: 0753210877 or 0712765157 asante....
Kwa uandishi huo, na wewe ni mwalimu kweli? Halafu wewe Eliya Mligo, usiwe unaweka kila kitu hadharani humuHello, jf salamun: natafta mwalimu wa kubadirishana nae kutoka Morogoro wilaya ya kilombero kuja mbeya- Rugwe. kwa alie taari au anataarifa za alie tayari naomba pia tuwasiliane.... kwa mawaasiliano haya.... namba: 0753210877 or 0712765157 asante....
No wonder watoto wanamaliza shule bila kujua kusoma na kuandika.