Mwalimu wa kubadirishana (morogoro/mbeya)-sekondari

Mwalimu wa kubadirishana (morogoro/mbeya)-sekondari

Izaack

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
48
Reaction score
3
Hello, jf salamun: natafta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Morogoro wilaya ya kilombero kuja mbeya- Rugwe. naomba tuwasiliane.... kwa .... namba: 0756683840 or PM
 
Hello, jf salamun: natafta mwalimu wa kubadirishana nae kutoka Morogoro wilaya ya kilombero kuja mbeya- Rugwe. kwa alie taari au anataarifa za alie tayari naomba pia tuwasiliane.... kwa mawaasiliano haya.... namba: 0753210877 or 0712765157 asante....

No wonder watoto wanamaliza shule bila kujua kusoma na kuandika.
 
Kwa uandishi huo, na wewe ni mwalimu kweli? Halafu wewe Eliya Mligo, usiwe unaweka kila kitu hadharani humu
 
No wonder watoto wanamaliza shule bila kujua kusoma na kuandika.

wewee u just needed to coment or off you go!!! am not good in swahil & "sor" for ur narrow understanding, teachers don't teach children to read and write at secondary level.....
 
Back
Top Bottom