Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 960
- 855
tufanye ajira binafsi kama uko tayar tuungane tuandike vitab nitatoa sponsorship kama uko commited
Kama ni wa UDOM hapana, ingekuwa umegraduate UDSM au SAUT ungepata nafasi hapa shuleni kwetu, but graduate wengi wa UDOM ni vilaza kupita maelezo.
Kama ni wa UDOM hapana, ingekuwa umegraduate UDSM au SAUT ungepata nafasi hapa shuleni kwetu, but graduate wengi wa UDOM ni vilaza kupita maelezo.
ninayo furaha kuwatarifu kuwa Mimi ni mwalimu wa kingereza isimu (linguistics) pamoja na fasihi ya kingereza (literature). nimehitimu chuo kikuu cha dodoma na kufaulu vizuri kabisa.hivyo kama kuna shule yoyote ya binafsi yenye uhitaji na mwalimu wa masomo husika awasiliane na Mimi kupitia email maigemaro@gmail .com.elimu ni nuru.