Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 960
- 855
ninayo furaha kuwatarifu kuwa Mimi ni mwalimu wa kingereza isimu (linguistics) pamoja na fasihi ya kingereza (literature). nimehitimu chuo kikuu cha dodoma na kufaulu vizuri kabisa.hivyo kama kuna shule yoyote ya binafsi yenye uhitaji na mwalimu wa masomo husika awasiliane na Mimi kupitia email maigemaro@gmail .com.elimu ni nuru.