wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Kwa sharia kwa hukumu ingekuwa kupigwa mawe hadhari mpaka afeKaonewa sababu ya tamaduni za kuletewa na wazungu, miaka 15 kiafrika ni msichana aliefikia umri wa kupatiwa mume amuhifadhi, pia miaka 80 ni mingi sana tunataka kujua sharia law inasemaje kuhusu scenario kama hiyo? sharia law tunaitumia kwenye mirathi sasa kwa nn isitumike pia kwenye kesi kama hii?
Fununu vipi ikiwa kanisa katoliki lilishamtenga tayari[emoji849][emoji849], ikithibitishwa ana kesi ya kujibu, lkn Kama Ni fununu TU za kitaa bila hatua yoyote kuchukuliwa atazidi kudunda TU kitaa!
Baada ya hapo jamii ikachukua hatua gani? Maana kanisa limeishatoa hukum yake tayari imebakia hukumu ya kiserikal ambayo inategemea jamii kuripoti ili mhusika afikishwe mbele ya sheria maana naamin ata huyu mwalimu wa madrasa sio msikiti uliomfungulia hayo mashtaka mahakamanFununu vipi ikiwa kanisa katoliki lilishamtenga tayari
Amehukumiwa miaka 30 kila kosa miaka 10 watoa habari siku hizi wanaharaka sanaKweli kabisaaah mkuu! Imetupasa pia wanaume kujizuia,
Imagine;
Umri wa mhukumiwa (21yrs) + hukumu (80 yrs) =101yrs
Future ya maisha yake ishaharibika kabisa!
Ana bahati kuwa adhabu zinakwenda pamoja. Atatumikia miaka 30 tu jela!
Hakuna mahakama ya kumfunga padri tz full stopBaada ya hapo jamii ikachukua hatua gani? Maana kanisa limeishatoa hukum yake tayari imebakia hukumu ya kiserikal ambayo inategemea jamii kuripoti ili mhusika afikishwe mbele ya sheria maana naamin ata huyu mwalimu wa madrasa sio msikiti uliomfungulia hayo mashtaka mahakaman
Kwakuwa wao ni nan?Hakuna mahakama ya kumfunga padri tz full stop
Sharia Law kaitumieni misikitini kwenuKaonewa sababu ya tamaduni za kuletewa na wazungu, miaka 15 kiafrika ni msichana aliefikia umri wa kupatiwa mume amuhifadhi, pia miaka 80 ni mingi sana tunataka kujua sharia law inasemaje kuhusu scenario kama hiyo? sharia law tunaitumia kwenye mirathi sasa kwa nn isitumike pia kwenye kesi kama hii?
kwani tuko Afghanistan apa tunatawaliwa na Taliban au? kama unapenda Sharia dandia C17 apo Uganda ikakushushe KabulKaonewa sababu ya tamaduni za kuletewa na wazungu, miaka 15 kiafrika ni msichana aliefikia umri wa kupatiwa mume amuhifadhi, pia miaka 80 ni mingi sana tunataka kujua sharia law inasemaje kuhusu scenario kama hiyo? sharia law tunaitumia kwenye mirathi sasa kwa nn isitumike pia kwenye kesi kama hii?
Hiyo sharia law kwanye swala la ubakaji inasemaje?Kaonewa sababu ya tamaduni za kuletewa na wazungu, miaka 15 kiafrika ni msichana aliefikia umri wa kupatiwa mume amuhifadhi, pia miaka 80 ni mingi sana tunataka kujua sharia law inasemaje kuhusu scenario kama hiyo? sharia law tunaitumia kwenye mirathi sasa kwa nn isitumike pia kwenye kesi kama hii?