Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kwa kipigo alichotoa huyo mwalimu si sawa hata ikiwa shuleni
Kwahiyo akipigwa shuleni ni sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo akipigwa shuleni ni sawa?
Hayo mambo ya elimu dunia na akhera mnayaleta wenyewe, hakuna anayewawekea maneno vinywani.Katika uislam hakuna elimu dunia wala elimu kuzimu, pili kwa hii tz kuna maprofesa wangapi ni waislam na wanaijua dini vizuri? Kuna shule ngapi za kiislam? Mnakaa mnazusha vitu kisha chuki tu.
Kwa hiyo hao waliomtia mbaroni wametumia kigezo gani?Hadi sasa hakuna sheria hiyoiliyotungwa na bunge la Tz
Mnafiki wewe unayemtetea huyo ticha mvaa kobazi wakati unajua kabisa hana saikolojia ya kufundisha watoto zaidi ya kutumia Jazba.Mnafiki! Unapinga adhabu ya viboko muda huo huo unataka kijana akafungwe unachimba chimo hili ili ufukie shimo lile
MihemukoKwa hiyo hao waliomtia mbaroni wametumia kigezo gani?