Mwalimu wa Madrasa apandishwa Kizimbani kwa tuhuma za kuwachapa fimbo (Ukatili) wanafunzi wa madrasa

Kama
Hapo ni wewe ulimpiga.

Ndio maana ulikuwa na Amani.

Vipi uone mtu baki anampiga mwanao mwenye umri kama wa hawa watoto?

Je utaona ni sawa tu?
Intention yake ni kumdhuru SITAKUBALI lkn kama ni mwalimu kwa lengo la kuadhibu haina shida si mwalimu tu hata kihrani apige mwanangu huko mtaani
. No problem
 
Kama

Intention yake ni kumdhuru SITAKUBALI lkn kama ni mwalimu kwa lengo la kuadhibu haina shida si mwalimu tu hata kihrani apige mwanangu huko mtaani
. No problem
Kuna aina ya upigaji kulinganisha na umri.

Sasa hao watoto umri wao ni mdogo sana, Halafu hilo li bakora nila kupigia watu wazima kabisa.

Sasa yeye anachapia vitoto vidogo tena kwa nguvu kubwa kama anaua nyoka.
 
Kuna aina ya upigaji kulinganisha na umri.

Sasa hao watoto umri wao ni mdogo sana, Halafu hilo li bakora nila kupigia watu wazima kabisa.

Sasa yeye anachapia vitoto vidogo tena kwa nguvu kubwa kama anaua nyoka.
Sio hata kwa watu wazima hilo fimbo too much lafaa kupiga kuua joka tena kubwa yeye anatumia kupiga watoto
 
Akili huna tu.
 
Ulichoandika ni kweli kabisa kuwa kuna wengine ni watukutu sana, ila kumbuka Mkuu kuna watoto pia ni autistic ila wazazi wala waalimu hawaelewi hilo.

Wao ni kupiga tu, je ni wangapi hawajui mtoto ana matatizo au mzazi ndio mkatili?

Kuna wazazi wengine wana ukatili sana na sio kuwafundisha nidhamu watoto hasha, bali wao ndio wana matatizo ya akili

Mimi pia nimepigwa utotoni na baba na pia waalimu.

Lakini nikiwaza kuna wakati mwingine unapigwa kisa unacheza tu au umerudi mchafu baada ya kuchezea mvua au mpira.
 
Mimi sitaki kushutumu ni watoto wa dini Gani hawana maadili Kwakuwa sijafanya utafiti wa Hilo na kujua sababu ni zipi ?

Ila Kwa mtazamo wangu kuhusu hiyo clip sijaona kosa la ustadhi kutoa adhabu inategemea na kosa walilofanya BTW sidhani kama wazazi walikuwa hawajui Hilo au watakuwa wao ndo wamewashitaki

Cha mwisho Mimi ni mkristo tena KKKT usijefikiri kutakuwa na ligi ya kidini
 
Acha ujinga na huo uzungu wako usio kuwa na kichwa na miguu.
Kwahiyo ww hapo ukifanya kosa serikali ikakufunga inakuwa imekufanyia ukatili?

Kama kumuadhibu mtoto kwa kumchapa ni vibaya mbona serikali yako imeruhusu viboko mashuleni?

Mtoto akikosea ni razima umfanye ajutie kosa na moja wapo ya kumfanya ajutie ni kumuadhibu lamsingi adhabu iendane na umri na afya yake.

Nchi nyingi za Afrika, Asia, Americakusini zinaruhusu adhabu kwa mtoto pale atakapo kosea kwahiyo hao wote hawana akili ila ww una akili kuwazidi?
 
Mental disorders zipo na zinakuwa diagnosed na utapata professional help

Siongelei mtoto kufeli, kushindwa kuconcentrate, au memory /confidence /socialization issues

Kuna MAJEURI mkuu, na wanachangiwa na mazingira watoto wanaposhinda na wanayoyashuhudia kwenye maisha na digital world. Ushaongea unaona anakujibu hovyo, au anakufanyia kusudi...

Where do you go from there?
 
Tatizo hizi dini watu wamezisoma juju na vimafundisho kidogo Kwa mwamposa basi wanaloea
 
Kushtaki na kushtakiwa kuko KISHERIA....

Kila siku watoto wanachapwa kikatili huko MASHULENI kwenye masomo ya Sekula.....

Sijajua kama katika madepo ya kiuaskari hakuna ukatili wa adhabu tofauti......

Kamba imemkatikia pabovu huyo mwalimu wa Kiburugwa.....

Halafu wakati mwingine hawa vijana wawe walimu wa dini ama Sekula huwa na "ujana na utoto mwingi sana"...

Binafsi nimeshawahi kuchapwa madrasah na shuleni ila hakukunifanya niikimbie elimu wala hakukuwafanya wazazi wangu WAWAFUNGULIE KESI hao walimu walionisulubu......
 
Tutawaletea na mkiwagusa tu lazima tuwaburuze kortini. Pumbaf, kama una stress kapige watoto wako achana na watoto wa watu.
Huko kuburuza kortin kumekaa kisiasa kwa ajili ya kuwafumba macho wajinga kama nyinyi na wana harakati uchwara na ndio maana hizo kesi huwa haijulikani zinaishiaga wapi, hata hii jamaa atapata dhamana na itaishia hewani na ataendeleza kichapo kwa matoto matundu.
Hivi hujiulizi ni kwanini mpaka sasa serikali yako imekataa kufuta viboko mashuleni.
Kama unataka mtoto wako asiadhibiwe mfundishe tabia njema hakuna atakaye mgusa , sio unashindwa kulea litoto alafu uanze kuhangaisha walimu.
 
Kama unategemea vitabu vya kidini vikufunze kuhusu maadili, You lack common sense.
Wewe ndo huna common sense hiyo adhabu imetolewa kwenye mazingira yapi na walikuwa wanafanya Nini na wewe ni nani aliyekufunza kuwa na maadili na ulijuaje una maadili?
 
Wameshindwa kuhangaika na kesi kubwa kubwa wamekuja kumuonea ostadhi tu vifimbo vidogo hivo kesi ya nn
 
Kwa taratibu za kiislamu! Mbona kawaida tu mtoto kufundishwa kuijua Quran kwa bakora?
 
Wewe ndo huna common sense hiyo adhabu imetolewa kwenye mazingira yapi na walikuwa wanafanya Nini na wewe ni nani aliyekufunza kuwa na maadili na ulijuaje una maadili?
Kwani wewe hujaiona hiyo video?

Hujaona mazingira ya kwenye hiyo video?

Maadili unafunzwa na wazazi wako au walezi wako tangu udogoni.

Pia maadili hayafunzwi kwa viboko kama vya huyu jamaa.
 
Kuna aina ya upigaji kulinganisha na umri.

Sasa hao watoto umri wao ni mdogo sana, Halafu hilo li bakora nila kupigia watu wazima kabisa.

Sasa yeye anachapia vitoto vidogo tena kwa nguvu kubwa kama anaua nyoka.
Kwa hao watoto Wana umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…