Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Naomba unisaidie mawasiliano ya huyo mwalimu ukiweza.Kama sijakosea hili tangazo nililiona linatembezwa masasi day sec siku ya semina flani!! Nenda mtandi sec kuna mwl anaitwa jumapili geofrey anatqka kuja mtwara mjini...
Nipo mtwara town ndugu,.. #SINO TZ SEC af sina mtu ninayemfahamu pale masasi ila last time tumeonana aliniambia shule inaitwa mtandi.Naomba unisaidie mawasiliano ya huyo mwalimu ukiweza.
Mhh mtwara mjini maisha magumu, Michele kilo sh.2500!
Mhh mtwara mjini maisha magumu, Michele kilo sh.2500!